President’s Videos

[youtube:http://www.youtube.com/watch?v=h4qOBAUX2nI]

One comment on “President’s Videos

  1. Nassor Ally on said:

    mheshimiwa Rais,
    Jamani idara ya forodha inahitaji mtu anyeijua vizuri na anayemuogopa Mungu pia na msomi mzuri. toka kifo cha marehemu walidi mpaka leo ni kama idara inataka kufa kwani aliyeachiwa bw. masamaki hana vigezo na huenda anatumia nguvu za giz mpaka kufikia hapo na kifo cha walid kilikuwa cha ghafla tunahisi kuhusika nacho pengine. Sio mchapa kazi anayetumia akili bali nguvu nyingi na matunda kidogo. pia ana ukabila kwani sector zote nyeti kaweka watu wake wa kanda ya ziwa na pia ana udini jao sio mcha Mungu hata chembe. pia anapendwa na wakubwa wake has kitillya na bade kwa sababu ni mtu anayeburuzikwa kirahis. mpelekeni mtu aneyejua kazi na anweza kwenda na kasi ya mabadiliko na aneyependa wasomi ili kazi ifanyike kwa ufasaha. maisha magumu ili kukomboa wananchi tunahitaji kukusannya na kupanua wigi wa biashara na nchu jirai.
    Asante na fanyia kazi utapata ukweli.

    nassor

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

HTML tags are not allowed.