One comment on “PRESS STATEMENT ON CLAIMS BY THE SUNDAY MAIL NEWSPAPER

  1. Kitwana Khamis on said:

    Wamemuonea sana mhe Rais wetu.Bali pia naomba tujuwe kwamba akutukanaye hakuchagulii tusi.Mtatizi si mtatuzi, soko la vipusa lipo nje ya nchi, na makala ile inatoka nje ya nchi, je haiwezi kuwa mwandishi anaandikia upande uliokuwa unanufaika na nyara zetu kinyume na sheria? Inawezekana ile ni kujibu mashambulizi kiaina na kumvunja moyo Rais. Hata tukimleta hapa, nyoka hageuki mjusi kwa kumuweka kundi moja na mijusi. mwana wa nyoka ni nyoka. Kikulacho kinguoni mwako. Chambilecho Gurumo- amini usiamini ;kukuchekea sio kufurahi nawe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

HTML tags are not allowed.