Rais Jakaya Kikwete Ahitimisha Ziara Yake Nchini Poland

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Fatma Fereji wakati akiondoka hoteli ya Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Nchi katika Makamu wa Rais Dkt Tereiya Huvisa wakati akiondoka hoteli ya Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Katibu Mkuu  katika Ofisi ya Makamu wa  Rais  Mhe Sazi Salula  wakati akiondoka hoteli ya Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono Mwandishi wa Uhuru na Mzalendo Bw. Ramadhani Mkoma wakati akaiaga na kuondoka hoteli ya Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika. Kushoto ni mwandishi wa ITV Bw. Emmanuel Buhohela, akifuatiwa na Naibu Mkurugenzi wa Mazingira katika Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi na Msaidizi wa Waziri Huvisa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt Terezya Huvisa na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Fatma Fereji wakati akiondoka hoteli ya Bristol jijini Warsaw, Poland, leo Novemba 22, 2013 tayari kwa safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini Poland ambako alihudhuria Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia nchi akiwakilisha viongozi wa Bara la Afrika.Picha Zote na IKULU

One comment on “Rais Jakaya Kikwete Ahitimisha Ziara Yake Nchini Poland

  1. Mheshimiwa Rais anafanya mambo mengi sana na mazuri, blog hii haijatendea haki jitihada zake kwani hakuna sehemu ya kupata hotuba zake muhimu kwa lugha ambayo watanzania wote wanaelewa. Ingekuwa vizuri zaidi kwamba badala ya kuweka picha pekee, zingewekwa pia hotuba zake mbalimbali ambazo ni muhimu sana pamoja na ufuatiliaji anaoufanya katika sekta mbalimbali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

HTML tags are not allowed.