Rais Kikwete atembelea banda la PPF katika maonesho ya SabaSaba

 Rais Jakaya Kikwete akitia saini kitabu cha wageni kabla ya Mama Salma Kikwete kufanya hivyo pia mara baada ya kuwasili leo katika banda la Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF) kwenye maonesho ya SabaSaba. Aliyesimama ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw William Erio

 Rais Jakaya Kikwete akiangalia video ya miradik ya  Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF) kwenye maonesho ya SabaSaba, kama anavyoelezwa na  Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw William Erio

 Rais Jakaya Kikwete  mara baada ya kutembela leo  banda la Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF) kwenye maonesho ya SabaSaba. Kishoto kwake ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Abdallah Kigoda na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw William Erio. Chini akiagwa baada ya kutembelea banda hilo nan kujionea na kusikia hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa

Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw William Erio akitoa maelezo kwa Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete na baadaye kuwatembeza katika banda la mfuko huo wa mashirika ya umma kwenye maonesho ya SabaSaba leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

HTML tags are not allowed.