RAIS KIKWETE AKUATANA NA MKUU WA MADHEHEBU YA SHIA ISMAILIA DUNIANIH.H. THE AGA KHAN IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 18, 2012 kwa mazungumzo na baadaye kupata nae chakula cha mchana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo na baadaye chakula cha mchana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa chakula cha mchana Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, na ujumbe wake wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo kwa mazungumzo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, muda mfupi baada ya kumaliza mazungumzo yao na pia kupata chakula cha mchana pamoja Ikulu jijini Dar es salaam leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani,H.H. Karim Aga Khan, wakati alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo.PICHA NA IKULU.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

HTML tags are not allowed.