Rais Kikwete afuturu na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini ikulu jijini Dar es Salaam

Baadhi ya viongozi na wawakilishi wa madhehebu mbalimbali ya dini wakishiriki katika futari aliyoiandaa Rais Jakaya Kikwete kwa viongozi wa dini ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na viongozi na wawakilishi wa madhehebu mbalimbali ya dini walioshiriki katika futari aliyoiandaa kwa viongozi wa dini ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni(picha na Freddy Maro)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

HTML tags are not allowed.