Rais Kikwete akutana na na Balozi wa UAE nchini pia aagana na Balozi wa Ireland

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Ireland anayemaliza muda wake nchini Mhe.Lorcan Fullam ikulu jijini Dar es salaam wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga leo asubuhi.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Ireland anayemaliza muda wake nchini Mhe.Lorcan Fullam baada ya Rais kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.(picha na Freddy Maro)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

HTML tags are not allowed.