RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA BIASHARA WA CHINA IKULU LEO


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na  Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mh Li Jonzhao  na ujumbe wake walipomtembelea Ikulu Dar es salaam leo March 23, 2012 kwa mazungumzo. Mawaziri wa Fedha Mh Mustafa Mkullo, Uchukuzi Dr Omar Nundu na Nishati na Madini Mh William Ngeleja walihudhuria mazungumzo hayo.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mh Li Jonzhao baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kumtembelea Ikulu Dar es salaam leo March 23, 2012 kwa mazungumzo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Mh Li Jonzhao baada ya mgeni huyo na ujumbe wake kumtembelea Ikulu Dar es salaam leo March 23, 2012 kwa mazungumzo. Katikati yao ni mkalimani na wengine ni ujumbe wa Mh Jonzhao.PICHA NA IKULU.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

HTML tags are not allowed.