Rais Kikwete aongoza kikao maalum cha Kamati kuu ya Halmshauri kuu ya CCM ikulu Posted on March 28, 2012 by admin Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmshauri kuu ya CCM ikulu jijini Dare s Salaam leo mchana.