Rais Kikwete akutana na mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ETISALAT ikulu jijini Dar es Salaam Posted on March 16, 2012 by admin Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya ETISALAT Bwana Ahmed Mokhles Ali El- Din ikulu jijini Dar e Salaam. Hii ni kampuni mama ya ZANTEL Picha na Freddy Maro