Rais Kikwete Aagana na Mabalozi wapya wa Tanzania nchini Ubelgiji na Oman

Balozi mpya wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr.Diodorus Kamala akiongea na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga leo asubuhi.

Balozi Mpya wa Tanzania nchini Oman,Mh.Ali Ahmed Saleh akiagana na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi kabla ya kuondoka nchini.(Picha na Freddy Maro).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

HTML tags are not allowed.