Rais Jakaya Kikwete katika ufunguzi wa mkutano wa Jumuiya ya Madola Perth, leo


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete(wa sita kutoka kushoto mstari wa pili nyuma) akiwa katika pamoja na Mkuu wa Jumuiya ya Madola Malkia Elizabeth II pamoja na wakuu wengine wa nchi za jumuiya ya Madola wakati wa ufunguzik wa Mkutano wa Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini Perth,Austraslia.(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (watatu kulia mstari wa pili) akimsikiliza Malkia Elizabeth II wakati akifungua mkutano wa siku tatu wa wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya madola leo mjini Perth nchini Australia.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (watatu kulia mstari wa pili) akiwa na baadhi ya wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya madola wakimsikiliza mtu mwenye asili ya watu wa Australia ( anaeonekana kwenye king’amuzi) akielezea asili ya nchi hiyo leo mjini Perth nchini Australia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuiya ya madola.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete wakikaribishwa na Aaron Verlin (kulia) ambaye ni Meneja wa kamati ya maandalizi ya mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika leo Perth Nchini Australia. Malkia Elizabeth II wa Nchini Uingereza ndiye aliyefungua mkutano huo.Picha na Mwanakombo Jumaa РMAELEZO.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

HTML tags are not allowed.