Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilishwa keki na mkewe Mama Salma Kikwete katika hafla ya kifamilia ya kuadhimisha miaka 61 ya kuzaliwa kwake, katika makazi yake Ikulu, Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo. Wanaoshuhudia ni mwanae Ridhiwani Kikwete na mkewe pamoja na mtoto wao