Rais Kikwete atembelea Ofiisi ya Rais – Utumishi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya

wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa

Umma wakati alipowasili ofisini hapo na kuzungumza na

uongozi pamoja na watumishi jijini Dar es Salaam leo

asubuhi.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi pamoja na wafanyakazi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakati wa ziara yake ya kikazi leo asubuhi(picha na Freddy Maro)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

HTML tags are not allowed.