Rais Kikwete apokea ujumbe kutoka kwa Rais Omar el Bashir wa Sudan Posted on March 25, 2011 by admin Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu wa Rais Omar El Bashir wa Sudan kutoka mjumbe maalum ambaye pia ni Waziri wa mambo ya Nje wa Sudan Ali A hmed Karti aliouwasilisha ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.