Matukio mbalimbali kutoka Ikulu Leo

Rais Jakaya Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Russia nchini Tanzania Mheshimiwa Alexander Rannikh huko Ikulu tarehe 14.12.2010.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Italy nchini Tanzania Mheshimiwa Pierluigi Velardi huko Ikulu tarehe 14.12.2010.

Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Jaji Salome Suzette Kaganda kuwa Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma huko Ikulu tarehe 14.12.2010.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu Mheshimiwa Jaji Gerard Niyungeko huko ikulu tarehe 14.12.2010.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*

HTML tags are not allowed.