VICHWA VYA HABARI KUTOKA KURASA ZA MBELE
HabariLeo Ukurasa wa mbele
· Mbeya yapooza
· ATCL sasa wakiri wako taabani [Habari Uk. 2]
Nipashe Ukurasa wa mbele
. Kuenguliwa Mgombea CHADEMA Mbeya: Zitto ageuka ‘mbogo’
. Wafanyabiashara wa mafuta watishia kupaisha zaidi bei
. Askofu Malasusa atabiri ufisadi utaiumbua CCM [Habari Uk. 4]
Mwananchi Ukurasa wa mbele
. Wabunge kusini wamtetea Mkapa
. Mgombea CHADEMA akata rufaa
. Wanaoagiza mafuta wawaruka wauzaji
Mtanzania Ukurasa wa mbele
· Mafuta wizi mtupu
· Waislamu wamshukia Dk. Shein
· CHADEMA yapinga kuenguliwa Mbeya
Majira Ukurasa wa mbele
· EWURA kibogoyo
· CUF yaridhia Prof. Saffari kupambana na Lipumba [Habari Uk. 4]
· Slaa ahofia pigo CHADEMA
Kulikoni Ukurasa wa mbele
. Taarifa za ufisadi NDC: Bunge limechokozwa
. Mgombea CHADEMA akata rufaa
. Mgambo sasa kuwalinda albino
Tanzania Daima Ukurasa wa mbele
· CHADEMA kizaazaa Mbeya
· Utata bei ya mafuta
FRONT PAGE HEADLINES IN TODAY’S MAINSTREAM NEWSPAPERS
Daily News I Front page
· Ghana opposition claims poll win
· ATCL gets back license to fly
· JK mourns Gaza Strip killings
· 5 die in Coast, Moshi accidents
The Guardian I Front page
. Libya wants JK’s AU term extended
. Ex-Somalia President not hiding in Tanzania
. EPA accused submit new title deed in Court
. ‘Few oil dealers caused price hike’
The Citizen I Front page
. CHADEMA protest candidate’s disqualification
. Oil marketing firms deny role in scarcity
The African I Front page
. Oil retailers accused of greedy intentions
. Richmond and EPA: Scandals of the year
ThisDay I Front page
· Bunge summons NDC chiefs
· Jeetu Patel surrenders more assets to Court